Goodluck Gozbert ( @goodluckgozbert ) Instagram Profile

goodluckgozbert

Goodluck Gozbert

Gospel Singer 🇹🇿
Jesus Is a King
Multi Award Winning Artist
Kama Si Wewe CLICK HERE

 • 87 posts
 • 472.6k followers
 • 185 following

Goodluck Gozbert Profile Information

 • Asante Baba, Kwa Kuchagua Mwanamke Timamu, Mwenye Uwezo,Jasiri na Uthubutu Wa Kuwa Mama Bora Atakayesimama Kwenye Nafasi Ambayo Mpaka Leo Bado Tunajiuliza Kwani Baba Ulijua Ungetuacha mapema Ndio Sababu Ukachagua Mwanamke Makini Atakayeendeleza Ulipoishia??!! #BigUp Gozbert, I am SuperProud Of You,
We Jamaa Asante, Tukionana Ntakusimulia Balaa La Mkeo Mwenye Nafasi Ya Pekee Kwangu. ==>Happy FATHERS Day Baba G

 •  4,944  48  16 June, 2019
 • Basi Mama akaniuliza, Kwanini Umempiga Mwenzio, Nikamjibu Kwa sababu Ameniita Mimi Mbwa....!!! Mama Akaniuliza Kwa Hiyo Alivo Kuita Mbwa Ukaja Kuniangalia Ukakuta Na Mimi nna Mkia Si ndio??? Yaani Kwa Ufupi nilipigwa Na Tayari Mtoto wa Jirani Alishaniita Mbwa, Nikaliaa, Nikakasirika, Nikasema Mama Gaidi Sana.

Ila Juzi Tu Hapa Ndio Nimeelewa MTU Hawi Unavyomuona Ila Vile Anavyojiona Moyoni Mwake...!! Asante Mama, Kwa sababu Wewe Uliyenizaa Ulijua MTU Hazai Mbwa, 
#Chukua Tano, Nna Zawadi Yako

 •  8,247  175  12 June, 2019
 • M S A B A T O
 • M S A B A T O
 •  7,237  164  12 June, 2019
 • Thank You @sautiawards For These Nominations | Asanteni Sana, Am Humbled

#Kama Si Wewe Video Link On My Bio

 •  1,574  49  11 June, 2019
 • More Life Brother, Yesu Akuzidishie Utajiri na Amani @johnpazia @johnpazia

 •  1,451  26  10 June, 2019
 • Morelife Bossy, Happy Birthday Vee @vanessamdee

 •  7,279  48  7 June, 2019
 • More Life Brother, Mungu Azidi Kukubariki @kabago 
Blessings Over Blessings

 •  2,763  24  7 June, 2019
 • Msabato Na Wasabato
 • Msabato Na Wasabato
 •  5,540  80  14 May, 2019
 • Thank You Again And Again Watu Wa Mungu.
Asanteni Kwa Kutazama Na Kusubscribe YouTube Chanel Yetu Ya Goodluck Gozbert.
We Have This One, Jiwe La Silver La Heshima Toka YouTube.

Thanks To My Team @mcdennismgatha
@kerrykerwin @celeboss1 @wayno_tz

Nina Zawadi Yenu Soon. ==> Swipe Left
Lakini Pia Asante Sana @maranatha_awards Kwa Tuzo 
#Glory To God

 •  5,332  128  13 May, 2019
 • Msabato
 • Msabato
 •  5,419  119  13 May, 2019
 • Nakukubali Sana Mshua, Two In One...Mzee Mama Jasiri | Siku Zote Ni Special Kwako Ila Leo Wenzio Woote, Wanapostiwa....Na Kwasababu Mwanao Moja Kati Ya Mafanikio Niliyonayo Nikuwa Na Account, Wacha Nikuweke Hapo....!!! Dushwaaaa

#Mama Kemmy

 •  1,979  34  12 May, 2019