#tanzania Instagram Photos & Videos

tanzania - 2.8m posts

Latest #tanzania Posts

Advertisements

Advertisements

 • Kukojoa Mara Kwa Mara Kwa Mjamzito.
MAUDHI YA UJAUZITO KWENYE MFUMO WA MKOJO.🔥🔥💥💥 KUKOJOA MARA KWA MARA KWA MJAMZITO.
Katika kipindi cha mwanzo cha ujauzito mkandamizo unaotokana na ukuaji umekuwa kutokana na kuongezeka kwa umbile la mtoto. Hali hii husababisha mfuko wa mtoto kusukuma kibofu cha mkojo ili uzidi kuchukua nafasi ya utanukaji wake.
 Hali hiyo kufanya kibofu kujaa mkojo kwa urahisi na pia kushindwa kuhifadhi kiasi kikubwa cha mkojo. Kitendo hiko husababisha mama kupata mkojo mara kwa mara.
Katika kipindi cha mwisho cha ujauzito mama hukojoa mara kwa mara kutokana kichwa cha mtoto kukandamiza kibofu.

USHAURI
Hakikisha mama mjamzito kila unapohisi kukojoa fanya hivyo, kojoa kwa wakati na usiruhusu kuubana mkojo kwa muda mrefu, kuubana mkojo inaweza kupelekea kupasuka kwa kibofu chako au kupata maambukizi ya njia ya mkojo
Hata hivyo mama mjamzito anapopata maumivu wakati wa kukojoa ni vyema kumueleza daktari wake ili aweze kupata msaada zaidi.
#drmlambalamba #afya #Tanzania

 •  0  1  3 minutes ago

Advertisements

 • 395 cookies. 180 macaroons. 66 ginger turmeric. 41. Peanut butter dark chocolate. 32 almond biscotti and butter cream. 15 elephant cookies. 14 bakers. 1 member from Tanzania missions team. 1 member from Mexico missions team. #tanzania #mexico #missionstrip #makejesusknown

 •  1  0  14 minutes ago
 • Magazeti ya #Tanzania leo April 25, 2019 
Tufatirie YouTube link hapo juu

 •  1  0  16 minutes ago