#IBADA Instagram Photos & Videos

IBADA - 6.6k posts

Hashtag Popularity

12.5
average comments
1.1k
average likes

Latest #IBADA Posts

 • MBEYA !!! Bwana HANA UPENDELEO ila hapa kuna kibali kikubwa sana! Ufalme wa Mungu unatekwa na wenye nguvu, msichoke wala msiizooee hii neema! Utukufu wa Bwana uwafunike watumishi wote wa Bwana, shauri la Bwana litimizwe. Watumishi wa Mungu @misesax @dr.ipyana nao watakuwepo kumtumikia Bwana! 
Tuwashirikishe na wengine wengi!

#ibada #kongamanolamaombi #mbeyacity #waombaji

 •  13  2  8 hours ago
 • Afande kutoka hukoooo
😂😂😂😂😂😂😂
Raha sana
WANISHANGAZAAAAAAAA 
#ibada 
#mustspread
 • Afande kutoka hukoooo
  😂😂😂😂😂😂😂
  Raha sana
  WANISHANGAZAAAAAAAA
  #ibada
  #mustspread

 •  113  5  12 hours ago
 • Unafanyaje ili kufurahia mikutano ya IBADA
•Jiandae kukutana na Mungu kwa kumuomba kwamba leo NINAKUTARAJIA na nguvu zako chochote kisinizuie
MATARAJIO YANAAMURU UMAKINI WA MUNGU KWAKO.
......
•• JITAKASE
jiweke wakfu kwaajili ya Mungu, kwa toba kutumia damu ya YESU
kwamba kusiwepo na chochote kinaweza kusimama kati yako na uwepo wa Mungu
#Itaendelea
..picha na @ipyana_mwaisekwa 
#IBADA 
#mbeya

 •  261  4  13 hours ago
 • Kuna vitu vingi sana vizuri lakini lakini tunapoamua kumwabudu Mungu yeye hufurahia sana ibada na matokeo ya ibada katika maisha yetu ni chanya na halisi sana... Hatuwezi kuwa tunu kwa Mungu ikiwa hakuna ibada maishani mwetu... Mungu anataka sisi tuwe #IBADA

 •  68  1  17 November, 2019
 • @dr.ipyana, I can’t be there physically but in my heart and spirit I can. .
.
May today’s #IbadaInTheCity Mbeya chapter leave a lasting mark in the lives of all who will be present. .
.
May today’s event open doors to take you to places you’ve not even thought of or imagined yet.
.
.
Ubarikiwe sana Doctor Ipyana.
#GrandIbada 
#Ibada

 •  86  2  17 November, 2019
 • #IBADA : Rais Dk John Magufuli na mkewe Janeth Magufuli leo wameshiriki Misa Takatifu Dominika ya 33 ya Mwaka C katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es Salaam. #TarafaMediaUPDATES

 •  124  0  17 November, 2019
 • MBEYA TAOO
#ibada in the City 
We know No other vocabulary zaidi ya #ibada

 •  128  1  16 November, 2019
 • Jana ilikua na nguvu sana ••KESHO TUNAKUTANA TUGHIMBE
••IBADANI

 •  149  4  16 November, 2019
 • Ni KESHO 
#ibada in the City
 • Ni KESHO
  #ibada in the City

 •  271  5  16 November, 2019
 • UBARIKIWE MILELE
FADHILI ZAKO NI ZA MILELE
UTUKUZWEE
#Ibada
 • UBARIKIWE MILELE
  FADHILI ZAKO NI ZA MILELE
  UTUKUZWEE
  #Ibada

 •  121  0  15 November, 2019
 • Tumebakiza siku ya leo na kesho tu 
Kuelekea •KUSIFU
•KUABUDU
•KUOMBA
•KUCHEZA
•KUPONYWA
•KUKUTANA NA UDHIHIRISHO WA NGUVU ZA MUNGU
•KUMPA MUNGU UTUKUFU WAKE
#ibada in the city 
#TUGHIMBE HALL
#SAA TISA MPAKA BAADAE

 •  136  3  14 November, 2019
 • Kutoka desk la kusambaza tickets 
TUNAKARIBIA KUFUNGA MAUZO 
Kama ulisema utazikuta Mlango nakushauri wahi sasa piga simu namba 0621314450 

 •  198  0  14 November, 2019
 • MWANAMKE MIONGONI MWA WANAWAKE WENYE WADHIFA

MAYMUNA BINT HARITH (r.a)

Kukumbukwa vizuri

Maymuna Bint Harith Al-(r.a) aliheshimika sana kutokana na sifa zake za kuwa mwenye hofu na ALLAH na mwenye kudumisha udugu na ndugu zake wote katika familia.
Alikumbukwa kwa hilo pale alipofariki dunia na bi Aisha alisema

Naapa kwa ALLAH ! Maymuna amekufa na yeye alikuwa ni mwenye kumuogopa ALLAH na mwenye uhusiano mzuri na familia yake.

Maelezo
Wakati bado tupo hai tuendelee kufanya yaliyo mazuri na tujitahidi kuwaweka karibu wale tunaowapenda ili tutakapokuwa hatupo tena tukumbukwe kwa namna iliyokuwa nzuri na sio kwa ubaya.

#maymunabintharith #undugu #msomi #ukweli #ibada #wema #mwanamke #upendo #imani #elimu #juhudi #muhimu #familia #uvumilivu #dini #jitihada #uislamu #swahili #tanzania #islamicftz

 •  237  2  14 November, 2019
 • Ku MBEYE 
Kunoghile
#ibada
 • Ku MBEYE
  Kunoghile
  #ibada

 •  106  0  14 November, 2019
 • NASHANGAZWA NA PENDO LAKO
VILE ULIVYO KWANGU
WEMA WAKO 
WAZIDI YOTE
WANISHANGAZA 
WANISHANGAZA ••kwa neema ya Mungu tutaimba live 
TUGHIMBE HALL
Milango inafunguliwa saa tisa kamili
Wahi kiti chako mapema
#ibada in the City Of #mbeya

 •  315  6  14 November, 2019
 • Asante kwa wote mliotayari kuja #IBADA IN THE CITY
As we wait on the Lord please remember that this is not a showcase of our talents, this is a God given platform for expressing our love and deep respect to HIM through #ibada Music.
••PLEASE come prepared that we worship the living God and the rest is up to HIM.
THANKYOU LORD FOR MBEYA
WE ARE 3 days away 
#keepgearingup we are almost there💪

 •  142  3  14 November, 2019
 • Dada yetu Sarah K kutokea Kenya, atakuwepo Ibada katika kusifu na kuabudu. Sijui Mungu anataka kutuletea Surprise gani jamani. Kwa sababu hata sisi hatujui Jambo hili litakuwaje. 
Andaa moyo wako kwa ajili ya #Ibada Mungu ametupa appointment ya kuonana na sisi tarehe 13/12/2019 Tanganyika Peckers. Mungu atashuka na ufalme wake, kuja kutuhudumia katika ibada.

Kwa wanaotokea nje ya mkoa wa Dar es Salaam, mwaweza kujisajili ili kuwaandalia mazingira mazuri ya mapokezi. Jisajili kupitia www.paulmwangosi.or.tz

#moyowaibada2019 #YesuniShujaa

 •  30  0  13 November, 2019
 • Sisi tutakuepo tar 17/11/2019 Jumapili hii kwenye Ibada wewe je?? Unakosaje kwa mfano 
Ibada hii inayoandaliwa na Mtu wa Mungu Dr.Ipyana itafanyikia Ukumbi wa Tughimbe,ticket ni sh.5000 tu
wahi kabla hazijaisha mnunulie na mwenzio usije peke yako.

@dr.ipyana
@clasichefilms 
@este.rmwaipopo 
#Ibada in the City
#Mbeya kwa Yesu

 •  47  2  13 November, 2019
 • Bwana Yesu Asifiwe, tunapenda kukumbushana jambo katika siku ya leo, juu ya HEKIMA ya Kimungu, nakusihi Itafute sana #Hekima ya Mungu kwanza na megine yatafata.

Ukisoma Yakobo 1:5 "Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa." Unapofunuliwa Roho ya Hekima inaambatana na Mengi ikiwemo kumjua Mungu (Efeso 1:17)

Hekima ya Mungu haijifichi hujulikana popote uendapo wanadamu watashuhudia. 
Kupitia kusoma na kujifunza #Neno la #Mungu tunafunuliwa hekima kupitia Roho Mtakatifu. 
Yako mengi yakuendelea kujifunza ila Mungu akusaidie mpendwa kuitafuta Hekima hii katika Jina la Yesu Kristo. 
Maandiko ya kujazia hapo.
- 1Wakolintho 1:21,24-27
- Wakolosai 3:16
- Waefeso 3:10
- Luka 2:10
- Warumi 11:33

Mungu na Akubariki.
@gospelmation_hub -------
.
.
.
#gospelmation_hub #awellofhope #hekimayaMungu #mafundisho #ibada #seekwisdom #Godsmercy #Godswisdom #loveofGod #upendowaMungu

 •  11  2  13 November, 2019
 • Amepata double double
T-shirt na Ticket 
ANASUBIRI #Ibada 
JUMAPILI HII 
Saa Tisa kamili •KUSIFU
•KUABUDU
•KUCHEZA SANA
Tughimbe Hall
 • Amepata double double
  T-shirt na Ticket
  ANASUBIRI #Ibada
  JUMAPILI HII
  Saa Tisa kamili •KUSIFU
  •KUABUDU
  •KUCHEZA SANA
  Tughimbe Hall

 •  133  0  13 November, 2019
 • Msiache kuwaleta watoto kama hawa TUGHIMBE 
Gonna be fireworks in the presence of God
•WANISHANGAZAAAAAAAA 
MATENDO YAKO YA AJABU
UTUKUUUUZWE
•••UMETENDA MEMA BABA
This is 
#ibada in the City Of MBEYA

 •  145  4  13 November, 2019
 • Karibu sana KATIBU wa @tafesmust kwenye #ibada in the City
JUMAPILI HII PALE TUGHIMBE HALL
17.11.2019
Saa Tisa kamili

 •  165  1  13 November, 2019
 • Good morning Fam.
We are 4days away from our biggest IBADA in the City Of MBEYA
#ibada must SPREAD 
Let’s come with that hunger to experience his glory

 •  187  2  13 November, 2019

Top #IBADA Posts

 • Je unafahamu nini kuhusu ibada za Kanye West kila jumapili?

Mwimbaji wa Marekani Kanye west anaendelea na mpango wake wa kufanya ibada kila jumapili.

Ibada hii hufanyika kwa kuambatana na burudani kubwa kutoka kwake Kanye West na wanakwaya ambao anashirikiana nao. 
Ni ibada ambayo waumini wake hufika kwa kualikwa tu si kila mtu anaweza kwenda. Pia ukipata mwaliko unatia saini makubaliano ya kuto kumshirikisha mtu yoyote asiye alikwa kuhusu yanayojiri katika ibada hiyo.

Wasanii mbali mbali wamewahi kuhudhuria ibada ya Kanye West kama vile DMX, Chance the raper na Kid Cudi.

Mke wa Kanye,Kim Kardashian amekuwa akitumia mitandao yake ya kijamii kurusha baadhi ya picha za video kuonyesha yaliyojiri wakati wa Ibada

Mara kadhaa majirani zake kanye wamekuwa wakilalamika juu ya ibada hizo anazofanya kwa mziki mkubwa nyumbani kwake au maeneo ya mlimani jirani na kwakwe kila jumapili. Wanasema kanye huwapigia kelele.

#kanyewest #kimkardshian #ibada #calabasas

 •  4,357  121  23 April, 2019
 • Mara chache ninapopata nafasi ya kukutana na wewe basi hizo hizo mara chache najifunza vingi kutoka kwako na kubwa zaidi ninalojivunza ni lile swala la kufanya #IBADA 🙏🏾 .. HAPPY BIRTHDAY BIG BRO @romyjons

 •  12,866  118  17 August, 2019
 • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Janeth Magufuli, Mama Marry Majaliwa (Mke wa Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa) pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa Takatifu Dominika ya 22 ya Mwaka “C” iliyofanyika leo katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko Msaidizi Padre Dkt. Alista Makubi, Septemba 01,2019. #ibada

 •  901  39  1 September, 2019
 • I can’t hold my tears 
Ushuhuda kuhusu Huu wimbo ni kwamba..... Tulipokuwa tumerekedi mpaka wimbo wa tano Roho Mt akasema tunapaswa kurudia wimbo wa nne haya Ndio yaliyotokea 
SIJAWAHI KUONA KITU KAMA HIKI
Sio experience wala ujanja #Ibada hii ilikua ya mwenyewe
#interlude ya #nashangazwa ••••• FULL. VIDEO ITAWEKWA WAZI #youtubechannel ya #dripyana SIKU YA IJUMAA SAA KUMI NA MBILI JIONI
#ibada ya Roho Mtakatifu
😭😭😭😭😭

 •  900  59  3 September, 2019