#AzamTV Instagram Photos & Videos

AzamTV - 23.4k posts

Hashtag Popularity

10
average comments
811
average likes

Latest #AzamTV Posts

 • JUMA ABDUL: WANA YANGA MSIKATE TAMAA

Nahodha msaidizi wa Yanga, Juma Abdul amewataka wapenzi na mashabiki wa timu hiyo kutokata tamaa licha ya kutokuwa na matokeo mazuri katika siku za karibuni.

Ikiwa chini ya kocha mpya raia wa Ubelgiji, Luc Eymael Yanga imekubali vipigo viwili mfululizo kwenye ligi dhidi ya Kagera Sugar na Azam FC ikiruhusu kufungwa mabao manne huku wao wakiwa hawajapata bao lolote kitu ambacho kinawafanya mashabiki kuanza kukata tamaa.

Mlinzi huyo wa kulia amesema baada ya timu hiyo kubadili kocha kuna mifumo imebadilika hivyo wachezaji wanaendelea kuizoea na muda si mrefu timu hiyo itarejea kwenye ubora wake.

Abdul ameongeza kuwa wakati msimu unaanza waliongezwa wachezaji wengi ambao wengine walishindwa kuendana na timu na baadae akabidilishwa kocha akaletwa kocha wa muda na sasa tuna kocha mpya kwahiyo bado hatujatulia. "Ninacho waomba wana Yanga wasikate tamaa na timu yao, kinacho tokea ni mapito tu. Ninaamini tutarejea katika ubora wetu na furaha itarudi kama ilivyokuwa awali, kikubwa tunahitaji sapoti kutoka kwenu," alisema mlinzi huyo.
.
#GoalTz .
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#GoalTzUpdate #goal #sisinisoka #SimbaRaha #michezo #yangasc #NguvuMoja #ThisIsSimba #sisinimashahiditu #TukutaneMei23 #SimbaScBreakingNews #saimon_simba #azamtv #SimbaLineUp #azam #yangasc #LaLigaWorld #LaLiga #football #footballnews #usa #london #Tanzania #Mwanza #washkajizangu #wasafi #epl #cr7 #leomessi .

 •  31  0  1 hour ago
 • YANGA YALIA NA BODI YA LIGI MABADILIKO YA UWANJA

Uongozi wa klabu ya Yanga umeilalamikia Bodi ya ligi (TPLB) kwa kubadilisha tena sehemu ya mchezo wao dhidi ya Singida United kutoka Arusha kurudi Singida muda mfupi huku wao wakiwa wameshafanya maandalizi ya awali.

Siku chache zilizopita Bodi hiyo ilitangaza kuwa mchezo huo utaenda kupigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kwakua uwanja wa Liti (zamani Namfua) unahitaji marekebisho lakini leo kumetoka taarifa nyingine kuwa mchezo huo utapigwa mkoani Singida.

Katibu Mkuu wa Yanga, Dk. David Luhago amesema tayari wameshafanya maandalizi ya usafiri kwa kuweka booking kwenye ndege na kulipa sehemu ya pesa (advance) kwenye hoteli watakayo fikia hivyo hawaelewi jinsi ya kurudisha gharama zao baada ya mabadiliko hayo.

Dk. Luhago amesema kwa kawaida kama kuna mabadiliko ya ratiba ya mchezo taarifa inapaswa kutolewa saa 48 kabla lakini Bodi haikufanya hivyo na kuwashtukiza kuwaambia mchezo huo utapigwa mkoani Singida nasi Arusha tena. "Bodi ya ligi ilituandikia barua kuwa mchezo wetu wa Jumanne dhidi ya Singida utapigwa uwanja Sheikh Amri Abeid Arusha lakini wamebadili tena kuwa tutaenda Singida wakati sisi tushalipa gharama za awali. Taarifa ilipaswa kutolewa mapema, sisi tumejiandaa kuwa tunasafiri kwenda Arusha," alisema Dk. Luhago..

 •  17  0  1 hour ago
 • NDUGU HUMPHREY POLEPOLE ATOA DARAS LA ITIKADI UDSM NA KUPOKEA WANACHAMA WAPYA WALIOJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI

Katibu NEC Itikadi na Uenezi CCM Comrade Humphrey Polepole mapema siku ya Jana ametoa Darasa la Itikadi kwa wanachama wa chama Cha mapinduzi kutoka chuo kikuu Cha Dar es Salaam na sehemu mbalimbali. Ambapo katika Darasa Hilo Ndugu Polepole alizungumza na vijana wa chama Cha mapinduzi kuitabua vyema itikadi ya chama ambayo ni UJAMAA NA KUJITEGEMEA na kuhakikisha Itikadi hiyo tuzidi kuilinda na kuienga.

Ndugu Polepole alizungumzia pia namna serikali ya awamu ya tano inavyofanya kazi na utekelezaji wa ilani ya chama ambapo mpaka sasa ni zaidi ya asilimia 80% ya ilani ya chama imeweza kutekelezwa na kuwataka Vijana kuhakikisha wanakisemea chama vyema juu ya utekelezaji wake wa ilani sambamba na serikali ambapo pia amewataka viongozi wa chama kujenga utamaduni wa kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa nchini chini ya ilani ya chama Cha mapinduzi.

Aidha Ndugu Polepole alipokea wanacha wapya waliojiunga na chama Cha mapinduzi Zaidi ya 700 siku ya Jana na kuwataka waweze kuzidisha Moyo wa uzalendo na Ari yao katika Kujenga Imani na chama na kufuata itikadi ya chama Cha mapinduzi sambamba na Ahadi zake.

Uongozi UVCCM UDSM unawashukuru sana kipekee wanachama wake wote waliojitokeza siku ya Jana sambamba na wanachama wa chama Cha mapinduzi kutoka sehemu mbalimbali.

19/01/2020
.
.
#mumena_the_great #ccmmpyatanzaniampya #hapakazitu #tukutanekazini #tanzaniaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #tanzania #daressalaam #milllardayo #millardayoupdates #globalpublisher #globaltv #azam #azamtvapp #azamtv #taifa #tanzania #hapakazitu #BungeniDodoma #bungeni #AzamTWO #azamnews #wasafim

 •  27  1  4 hours ago
 • Timu ya taifa ya wanawake wenye umri chini ya miaka 20, kesho Jumapili watakuwa dimbani kuumana na Uganda katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia. Kuelekea mchezo wachezaji wamezungumza wakionesha uhakika wa kupata ushindi. 
Mechi hii itakuwa LIVE #AzamTV

 •  93  0  15 hours ago
 • KIDUDEEEEEE πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 • KIDUDEEEEEE πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 •  446  21  16 hours ago

Top #AzamTV Posts

 • Jeshi la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi linamshikilia Salum Ali Malik (26) mkazi wa Makunduchi kwa tuhuma za kuwadunga sindano watoto sita na kuwasababishia maumivu katika miili yao.

#AzamTVUpdates #AzamTVApp #AzamTV #AzamTWO

 •  1,636  8  17 January, 2020
 • Unamkumbuka huyu β€˜mwamba’ aliyefanya maajabu ya kurusha chungwa juu na kulidaka kwa ulimi..? Tazama alivyowaacha wakazi wa Mbagala Dar es Salaam midomo wazi... Safari hii amekuja na ajabu lingine la kupiga ngoma, kinanda, gitaa kwa kutumia mdomo…vyote hivi anavifanya kwa wakati mmoja.

 •  6,657  90  14 January, 2020
 • TANZIA: Mbunge wa Newala Vijijini Rashidi Ahkbar afariki dunia

Mbunge wa Newala Vijijini, Rashidi Ajali Ahkbar amefariki dunia leo Januari 15, 2020 Mnazi Mmoja mkoani Lindi.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM mkoani Mtwara, Selemani Sankwa, taarifa za mazishi zitatolewa baada ya makubaliano ya familia na Ofisi za Bunge. 
#AzamTVUpdates #AzamTVApp #AzamTV #AzamTWO #AzamTVHabari

 •  4,567  53  15 January, 2020
 • Halmashauri ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya imeanzisha kampeni kabambe ya kukabiliana na vitendo vya wizi wa dawa na vifaa tiba kwenye Zahanati , Vituo vya Afya na Hospitali ya wilaya hiyo kwa kuwashirikisha wananchi waliopo maeneo husika.

 •  2,447  17  15 January, 2020